JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

I remember when they said, they don't believe in me no more
I was sleeping on the ground, on the cold floor.

Whole time I have been grinding, trying to achieve
Working night and day, no time to sleep.
👉 mshamba_hachekwi hii pen game ni 🔥🔥🔥🔥
nimeiskiliza sana
 
shingapi kuinstall hiyo transceiver
GHARAMA TTCL watakuambia ni bure ukishajaza fomu na kununua vifaa vinavyotakiwa....

Lakini ukisema Usubiri bure... Utasubiri hadi yesu anarudi...!!

Imenicost 500k + 50 ya logistics...chakula&soda... Maana walikuja kiofisi nyumbani...na zile cruiser zao za rangi ya Ccm/yanga

Huku ni mkoani... Total 550k
 
GHARAMA TTCL watakuambia ni bure ukishajaza fomu na kununua vifaa vinavyotakiwa....

Lakini ukisema Usubiri bure... Utasubiri hadi yesu anarudi...!!

Imenicost 500k + 50 ya logistics...chakula&soda... Maana walikuja kiofisi nyumbani...

Huku ni mkoani... Total 550k
bora niwatafute konnect, wao ni 400k na kitu

sema wanaanza 60k/mo
 
Back
Top Bottom