JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,197
- 9,481
Hahah! Wala hatujakosana mkuu... Tunasogeza muda kukuche... Si unajua tena uzi wetu huu??!JITU BANDIA Ume mkosea nini huyu dogo🤣😂😂
Hahah! Wala hatujakosana mkuu... Tunasogeza muda kukuche... Si unajua tena uzi wetu huu??!JITU BANDIA Ume mkosea nini huyu dogo🤣😂😂
real life ft stormzyOy mshamba_hachekwi ile ngoma want it all ni 🔥🔥.
👉Taka nyingine Kali🤣😂
yaani dem kakupenda tu, unampa laki anakataa, anakuomba mkutane, anakununulia nguoKama unafikiri ni chai... Lete vitumbua na mabumunda tuendelee kuinywa! Kabla haijapoa....
shida ya kukesha unatamani kula kila saa😂Nipo hapa mpaka kukucheeee😂
Ko una umia mwenzio kupendwa au🤣😂😂yaani dem kakupenda tu, unampa laki anakataa, anakuomba mkutane, anakununulia nguo
hii ni ndoto
mshamba_hachekwi hii Ime kaaje🤔, au nayo ni chai😂🤣🤣Nna ngoma kali hapa naisikiliza, nilifanikiwa kuungiwa home wifi ya TTCL... kifurushi cha chini kbs ..55,000 KWA mwezi, nasererekaa tuu...niwawekee, !?
japo niko mkoani ila ina kasi hatareee!
Kikubwa uhai, na matajiri kutulipa Wana sema - till we die🤒Lindo linakwendaje
inawezekana, sema ni ghali... unafungiwa net ya nyayamshamba_hachekwi hii Ime kaaje🤔, au nayo ni chai😂🤣🤣
Kikubwa uhai, na matajiri kutulipa Wana sema - till we die
Najua Sana,inawezekana, sema ni ghali... unafungiwa net ya nyaya
Kikubwa uhai, na matajiri kutulipa Wana sema - till we die
Bora hata umemuuliza wewe! Umenisaidia!!! Vichwa vingine vigumu sana kuaminimshamba_hachekwi hii Ime kaaje🤔, au nayo ni chai😂🤣🤣
Basi pamoja mkuu🤒Hahah! Wala hatujakosana mkuu... Tunasogeza muda kukuche... Si unajua tena uzi wetu huu??!