Dhul
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 767
- 790
Ni kweli ila ukimpeleka Kilimanjaro anarizika na kila hali mnayokuwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndani ya nyumba mambo hayaelewekagi, we unampa moyo mwenzio anataka kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisema umpe kichwa anabadilisha gia anaenda tafuta bank.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muhimu ni kubalance mambo[emoji108]
Ss kosa hela na usiwe unampeleka Kilimanjaro utafurahi