mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
una sononaAaaah! naona nimejikuta hapa kimakosa tu...
una sononaAaaah! naona nimejikuta hapa kimakosa tu...
hahahah! Mbona ka adhabu vile, kwa nini?We unatakiwa ukae kuanzia sa sita kamili mpaka sa 12 asbh kwa mwezi mzima
ndo kufanya nini...?una sonona
Na hubanduki sasaAaaah! naona nimejikuta hapa kimakosa tu...
Ili uzoee, sio adhabu😂😂😂😂hahahah! Mbona ka adhabu vile, kwa nini?
yule dem alivokukataa ukakosa usingizi ndo sasa uko hapando kufanya nini...?
Anamanisha anataka kukukabiz lindondo kufanya nini...?
Umenishika hadi sibanduki..?? sema una bahati sana tu nimekuja saa 9 mida imekaribia, ningebanduka tu..Na hubanduki sasa
Aaaah! Au sio...yule dem alivokukataa ukakosa usingizi ndo sasa uko hapa
Wazee wa huu mtaa huwa hawapendi kuchezewaUmenishika hadi sibanduki..?? sema una bahati sana tu nimekuja saa 9 mida imekaribia, ningebanduka tu..
Hahah! mbona unataka kunitisha wewe..? Ngoja sa niwachezee vizuri kwa kuondokaWazee wa huu mtaa huwa hawapendi kuchezewa
Utarudi tu haka kama sio leoHahah! mbona unataka kunitisha wewe..? Ngoja sa niwachezee vizuri kwa kuondoka
hapo sawaUtarudi tu haka kama sio leo
Huwa najiandaa na morning gloryMida yako hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakorofi hao....waache wivu aisee🥴💕💕Nimekuanzishia uzi moderator wamekuonea wivu wame ufuta 🥲🥲
Mambo mtoto mzuriWakorofi hao....waache wivu aisee🥴💕💕
Niko poa sana, likizo Imeisha tumerudi Kwa Kaz😊Mambo mtoto mzuri
Sawa sawa ndio maana nilipita kwako kukawa kumefungwaNiko poa sana, likizo Imeisha tumerudi Kwa Kaz😊