NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,017
Kumbukumbu anazo mpiga picha wewe wew starehe haziishi hela yako ikiisha chomoka kwa biti la DJ
Andiko zur je tunakumbuka kujiwekea akiba mbele za Mungu?Mathayo 6;20 jiwekeeni akiba mbinguni ambako nondo na wadudu wengine hawawezi kuharibu
024702:46..
😵😵😵😵😵
Tumejaa tele muda huu 04:13Hivi fazahouse hamjambo maana yake ni mtu anauliza kama hamna jambo au kunajambo reverse? [emoji3][emoji3][emoji3]
Mida yako hii😂😂😂😂😂Tumejaa tele muda huu 04:13
Ww akili zako unazijua mwenyewe auntiee. 😃😃😃😆😆😆Hivi fazahouse hamjambo maana yake ni mtu anauliza kama hamna jambo au kunajambo reverse? 😀😀😀