JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hakuna vita mbaya kama ya ndani ya nyumba
😂😂😂😂Ndani ya nyumba mambo hayaelewekagi, we unampa moyo mwenzio anataka kichwa😂😂😂😂😂
Ukisema umpe kichwa anabadilisha gia anaenda tafuta bank.. 😂😂😂😂
Muhimu ni kubalance mambo👌
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwaga kibunda uone kama hujaambiwa babe inabidi upumzike umechoka sana, kesho una majukumu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu upwiruu wake unaenda wap unadhani
Yani unatoa hela na yy anaenda zitoa ili aridhishwe
 
Back
Top Bottom