JamiiForums Usiku wa manane
Ujue mimi sijawahi kushakiwa....mwl.wako hatashidwa kutumia ada yote uliyomlipa ili kunishaki
Hahaha acha uoga bhana, mimi sina mwalimu mwingine zaidi yako, na wala hatotokea
Niko tayari kupambana na mashtaka yote yatakayotokana na hilo.
Cc My Teacher to be
 
Njoo nikuoneshe shule nzuri itakayokufaa kwa undakindaki wako huo......
Ukiona elimu gharama,jaribu ujinga

Dadek ila sijawahi kukutana na Mwl mtata namna hii, basi niko tayari kuhamishia undakindaki wangu kwenye "elimu gharama"
Ujue bila kufundishwa na wewe sintaelewa kabisa
 
Back
Top Bottom