JamiiForums Usiku wa manane
Tulale bwana,huyo mwenye usiku wake mwenyeww kalala sisi tunakazana hapa utafikiri tunalipwa bwana

Cc No Escape
Kwakweli, ulale unono bundi mrembo, mimi nitakua pembeni yako na rungu langu, kuhakikisha mbu hasogei. Leo zamu yako kuniota
 
Back
Top Bottom