Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Sema taratibu watu wasisikie...Ahaa! kwa hiyo unataka za bure si ndio!
(bure itapendeza)
Sema taratibu watu wasisikie...Ahaa! kwa hiyo unataka za bure si ndio!
Wacha weeh, ila usinisahau basi kwenye kibarua cha kuvunaAso na maana huwa hapewi maana...
Sisi wakulima tushaelewana vizuri kabisa
Ama kweli, mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe![]()
![]()
![]()
"Wewe wasema"
Kila mtu atavuna alichopanda....Wacha weeh, ila usinisahau basi kwenye kibarua cha kuvuna

Si ungeniambia mimi angalau tusaidiane kulegeza vyuma kadhaaVyuma mkuu, ndio maana nikajitoa ufahamu kukuomba hadharani

Vp tena mkurugenzi
Basi kiongozi usijali, ila naweka oda ya mwakani mapema. Kwa kuwa utakuwa umevuna tafadhali unisaidie mbeguusijali kwa kuwa ushajitoa ufahamu,ila ndugu yangu tusifike mbali mimi zangu nimeshapanda zote ina maana sasa labda ningekuwa na pesa ningekununulia.
We nae zile zilikua tu janja za kumshtua, atoke huko alikoshikiliwa,Ushasema jje's ni mwalimu wako maridhawa....nenda akufunze![]()
![]()
![]()
Mwenye macho haambiwi tazama!Si ungeniambia mimi angalau tusaidiane kulegeza vyuma kadhaa![]()
![]()
Ama kweli, mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe

We nae zile zilikua tu janja za kumshtua, atoke huko alikoshikiliwa,![]()
Ujue hili somo tokea siku nyingi najipendekeza kwako unifundishe lakini unanikazia tu.
usinichonganishe na mwl.wako jje's asije akanipa kesi ya kumnyanganya mwanafunzi wakeKila mtu atavuna alichopanda....![]()
![]()
![]()

Tatizo akili yako ni nyembamba haijajua methali ndio maana huwa huelewi misemo ya wahenga.![]()
![]()
![]()
Ndio maana wahenga siwakubali, hivi kweli kuna mtu ambaye yuko tayari kufa na mtu?![]()

Wacha wee, kwahiyo ulivunaje pando lako la mtongozo?![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee, haya maneno nimeyafananisha na kile kitendo alichokifanya Eliamhoo kurudisha barua yangu ya tongozo nyumbani kwetu huku akiwa ameambatana na wazazi wake![]()
![]()
![]()
![]()

Hahaha unaweza kuwa na macho lakini kipofuMwenye macho haambiwi tazama!
