Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Ni kweli best...pambana tuNilikuwa shamba best,si unajua msimu wa mvua hauna rafiki
Ni kweli best...pambana tuNilikuwa shamba best,si unajua msimu wa mvua hauna rafiki
Ulipotelea wapi?mwenye dukuduku lolote ntamwambia leo...
Ulipotelea wapi?mwenye dukuduku lolote ntamwambia leo...
Ulipotelea wapi?mwenye dukuduku lolote ntamwambia leo...
0003 karibuni,leo nimefungua mwenyeweeh! mwenye dukuduku lolote ntamwambia leo...
Mkurugenzi.

Karibu kilingeni Sultannamimi nime kujaaaa
Kwan mm na Ney ndo watekaji?
Mkuuleo sitoki hapa mpaka kucheeee!
Ahsante sana Bundi Mwasisi, kwa heshima na taadhima nimekupa Bundi Thad akusindikize mpaka ile mida ya kufunga getiniponipo karibu tujumuike mida ndio hii.