Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,716
- 208,979
Nasikiliza nyimboMbn mapema mrembo
So zinanirudisha usingizini
Nasikiliza nyimboMbn mapema mrembo
september conference😬Tumetoka batani ehee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaaaah [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]september conference[emoji51]
Tumetoka usingiziniNilikua na wanangu kina chinooooo.... 😂😂😂😂
pole mzee kwa kunyimwa😬Ndoa ni sanaaa
Onesha ufundi😂😂😂😂Ndoa ni sanaaa
tumefuliaaa....Nikawa na wanangu kina Mshambaaa
Tumechill uzi wa usiku wa manane
Upo huo... Kibena huku ukileta ufundi unaganda 🤓🤓🤓🙌🙌🙌Onesha ufundi😂😂😂😂
ndio mzee....Ndoa ni kikundi cha masela. Waliojiona wamekua 🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌🙌
Ndoa ni ngumu jamani
Ndoa si drama mbele ya watu wengi
Weee acha tuuu....pole mzee kwa kunyimwa😬
Ayiiiiiii badiiiiitumefuliaaa....
leo tumeshindia mihogo, show kali😂
Weee acha mambo ya hovyo OA acha kuzini 🤓🤓🤓🙌🙌ndio mzee....
ndio maana nasisitiza vijana wakatae ndoa, pia wasizae watoto
Hata wiki haijaishaa? We jamaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwan dronedrake hakukusisitizaa..??Ndoa ni kikundi cha masela. Waliojiona wamekua 🤓🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌🙌
Ndoa ni ngumu jamani
Ndoa si drama mbele ya watu wengi
🥴🥴ndio mzee....
ndio maana nasisitiza vijana wakatae ndoa, pia wasizae watoto
pole mzee kama you love her, you will make it workWeee acha tuuu....
Yaaani wee acha aiseee ndoa kaa la moto
Assume naomba naambiwaHata wiki haijaishaa? We jamaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwan dronedrake hakukusisitizaa..??
Faken bond... 😬😬😬😬pole mzee kama you love her, you will make it work
nikikua ntaacha au sio