Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
Dgo mshamba umeanza ln uhuni?serious mzee natetemeka hapa baridi nyuzi 10[emoji51]
Dgo mshamba umeanza ln uhuni?serious mzee natetemeka hapa baridi nyuzi 10[emoji51]
Hahahahaustumie nguvu nyingi mzee
HahahahaNguvu iko wapi hapo we dogo
Jambo mkuu..Jambo
Hila ww dgo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yeyote tu mkuu hata mashangazi tunatumia[emoji3]
haja ya moyo wangu ni ile naniliu😋i haja ya moyo wako.
soma we mbwa saa moja pepaHila ww dgo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kenge maji nitolee hapa😂haja ya moyo wangu ni ile naniliu😋
Jambo sana,nafurahi kukuona muda huu hapaJambo mkuu..
Chaguo lake analo mbona😂😂😂😂😂😂 amani moyoniHujielewi mwanaume aliyepevuka huwa anajua anataka mwanamke wa aina gani.
Jua kudhibiti hisia zako na stay focused buddy.
Usitake mwanamke yeyote, hilo ni kosa kubwa.
Taka mwanamke wa ndoto zako na anayekidhi haja ya moyo wako.
Cheka na wengi but chaguo ni moja basi
[emoji45][emoji45][emoji45]haja ya moyo wangu ni ile naniliu[emoji39]
Shivas hamna pombekama ni pombe situmii😅
Chaguo gani sasa anasrma yeyote, shangazi au binti...hajitambui😂Chaguo lake analo mbona😂😂😂😂😂😂 amani moyoni
Nipo hapa😀😀😀Jambo sana,nafurahi kukuona muda huu hapa
pa huku panaitwa mafyati😋Shivas hamna pombe
SawaChaguo lake analo mbona😂😂😂😂😂😂 amani moyoni
05:05 ,usiku umeishaNipo hapa😀😀😀
Lindo lidumu..
Safi sana ,nafurahiNipo hapa😀😀😀
Lindo lidumu..
genye mzee genye😬Chaguo gani sasa anasrma yeyote, shangazi au binti...hajitambui😂