Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,798
- 6,373
Nimemaliza, tafuta amani moyoni kama mwilin imekushida😂😂😂😂Ushaanza 🥺🙌🙌
Nimemaliza, tafuta amani moyoni kama mwilin imekushida😂😂😂😂Ushaanza 🥺🙌🙌
kaza mkuu, love shouldn't be a chore....Anipi uroda🥺🥺🥺🥺🥺 sasa
Aliyeumba ndoa hakusema kuna maumivu🥺🥺🥺 Jamani.. huu unyama naotendewa mii mda huu sio wa kuchart
zisipoisha kwenye pombe na vibinti niite mbwa
🤓🤓🤓🤓🤓 Eti nini..Nimemaliza, tafuta amani moyoni kama mwilin imekushida😂😂😂😂
Congrats
Watoto wake ndo watoto wangu .Aliyeumba ndoa hakusema kuna maumivu
Unamwamini na kumpenda mke wako
Kumbe ye anapenda watoto wake na hela zako 🥴😂😂
Madhara ya kupenda material things hayo 🤣I wonder, kalazimishwa au hawana mutual connection 😂😂😂😂
Ukicheat umekamatwa, faza in law anaambiwa. AibuWatoto wake ndo watoto wangu .
Why kaamishia upendo kwa watoto mazima hivi 🥺🥺🥺🥺
Ndo hapo tunaanza ku cheat 😬😬😬
Ndo akimaliza awe busy kutetemeka baridi
Nilisha kukataza kunijibu mi kwa lugha za ajabu ..kaza mkuu, love shouldn't be a chore....
Jivute kwake uiwekemoAnipi uroda🥺🥺🥺🥺🥺 sasa
bora hivyo tu kuliko kucheatNdo akimaliza awe busy kutetemeka baridi
Mwenzie yupo kwenye 5 degrees anamwambia aoge maji bariddi saahii akitoka anaumwa ngiri😂😂😂😂😂Ndo akimaliza awe busy kutetemeka baridi
Hii itakua ka mix laizer..Ukicheat umekamatwa, faza in law anaambiwa. Aibu
Kwenye uchumba kwann ww usione?😬sasa si inatakiwa waseme mapema
namaanisha kwamba, vumiliaNilisha kukataza kunijibu mi kwa lugha za ajabu ..
Unakua unaweka kiwango cha mi kujibu ulichoandika 😬😬😬
Pole sana...Hii itakua ka mix laizer..
Sio kwa mdundo huu naowekewa hapa 🥺🥺.
Ukiskia mara presha mara Bp ndo hivi aiseee
Ety jmn wakat vitu vinatokaga venyewe tuu😂😂😂😂 apo ni kufanya shaaa shaaaaa imoooooMadhara ya kupenda material things hayo 🤣
Au mke mpk anywe wine ndo zikuje