JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Duuuh[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Weee janja unahitaji Twiti kabisa tena la Kiombo au Mgote.
Mbona watu tumeishi na pisi kali zaidi ya Miaka 10 sasa na hatuna hata jero na tukiitaka tu inaletwa chapu na Wanaamini tutawaoa.
[emoji23][emoji23][emoji23] BASI wewe mzoefu wa haya mambo hasa kuwalaghai mabinti za watu but kumbuka laana zitakutafuta kwanini uzini na watu kwa kisingizio cha kuwaoa halafu hamwaoi
 
We bdo unaishi mtandaoni. chukua hii ( hbari za kweli mtaani blogs ni fake)
Uyu tumwombee Upedeshee tu vinginevyo hatoboi hasa hizi Relation za siku hizi. Huna pesa ya kumridhisha mwanamke ni Mikakati tu itakuweka Pazuri.
 
We janja ni kwamba huelewi au unajichetua sasa ni Binti gani atakupa chini kizembe labda malaya. Danganya uokoe Jahazi.
[emoji23][emoji23][emoji23]hizo mbinu za kumteka huyo pisi bila kuwa na hela ni zipi mkuu ??
 
Back
Top Bottom