JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Unasema nitafute pisi !! Lakini kumbuka pesa sina nabado nategemea wazazi howcame kaka na unajua kabisa mapenzi siku bila hela hayaendi
Duuuh[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Weee janja unahitaji Twiti kabisa tena la Kiombo au Mgote.
Mbona watu tumeishi na pisi kali zaidi ya Miaka 10 sasa na hatuna hata jero na tukiitaka tu inaletwa chapu na Wanaamini tutawaoa.
 
Gharama za kuhudumia hizo pisi mimi sina mkuu bado nategemea wazazi kuanzia kila kitu sizani kama hayo majukumu ya kwenye process za dating kama nitazianza
Oky oky, usome sasa mengine achana nayo kama hata kutengeneza urafiki kunahitaji pesa, bado sana😂😂😂
 
Back
Top Bottom