Lari
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 210
- 356
Dogo Nyeto ni hatari acha kujidefend.Everything is under control na kila kitu kina wakati wake kuna umri ukifika nitahitaji mwanamke bila hata kutafutiwa na kuishi nae bila hata kufundisha it's just a matter of time
Hiyo ndo Formula ya Maisha yangu namjali yeyote anaenipenda kwa kiwango kile kile anipimiacho. Maana kumjali mtu si lazma uwe unampenda saaana ni issue ya kujitolea tu.Ee ndio inavyotakiwa hivo mpende akupendaye
Mkuu uzima upo muda wakuamka huuHiyo ndo Formula ya Maisha yangu namjali yeyote anaenipenda kwa kiwango kile kile anipimiacho. Maana kumjali mtu si lazma uwe unampenda saaana ni issue ya kujitolea tu.
Subiri Ile swala swala, mkakojoe kabisa halafu mpige mswaki.mida ya latenight glory😀😁
Oyoooooo!!!!!Ni mbeya?
Ni kutoboa tu Mkuu.Mkuu uzima upo muda wakuamka huu
Mkuu tatizo magonjwa na mikosi ya maisha tunahofia ni bora kujichukulia sheria mkononi but kistaarabu tu sio fujoDogo Nyeto ni hatari acha kujidefend.
Hayo ni moja ya madhara ya kujichua inaua mahusiano yako na watu wa jinsia tofauti yaani umuhim wao maishani mwako unapungua sana au kupotea kabisa kama ilivyo kwako sasa.
Usingekua unakula Nyeto upwiru ungekukaba usingekua na hizi busara[emoji1787].
KULA PAPUCHI.
Ndugu hali imekua si hali hakuna kulala kabla hatujauzwa kwa mwarabu tunajifunza kutolalaNi kutoboa tu Mkuu.
Ni kweli pia.Mkuu tatizo magonjwa na mikosi ya maisha tunahofia ni bora kujichukulia sheria mkononi but kistaarabu tu sio fujo
Tuanze kuzoweya ShidaNdugu hali imekua si hali hakuna kulala kabla hatujauzwa kwa mwarabu tunajifunza kutolala
Huu Uzi umekua kipenzi Sana maan mida hii pombe hua hazipandi tenaKunakuchia jf
Ahahah na hata muziki ushachosha sasaHuu Uzi umekua kipenzi Sana maan mida hii pombe hua hazipandi tena
Walinzi wa JF03:40..lindo lidumu
Ova!
5/503:40..lindo lidumu
Ova!
Asa unatushauri vipi tuendelee kupiga nyeto au tutafute mwanamke asiyemjuwa ulale naye then akuachie mikosi na magonjwa njia ipi sahihi??Ni kweli pia.
Raia wanakoroma halafu wakiamka wanaleta dharau wakati makamnda tumeilinda jf isiibiwe usiku kuchaWalinzi wa JF
Saiv hata Moderator kulala unaeza tema pumba tu atazikuta asubuh. Tupewe heshima yetu.Raia wanakoroma halafu wakiamka wanaleta dharau wakati makamnda tumeilinda jf isiibiwe usiku kucha