Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,845
03:47
Aah wapi😂Hii denda linalokutoka ni Kwamba tayari umekojoshwa au ndo waelekea mam?
🤣🤣🤣😋 Tulia weweee!Aah wapi😂
I mean no malice to nobody, Naomba tukemee kwa maombi Poor Brain, mshamba_hachekwi, Dahan, masai dadaKumbe ikifika mida kama hii mnaongeaga mambo ya ajabu ajabu 😂😂😂🙏
hii timu ya
To yeye
Half american (kiongozi)
Dahan
mshamba_hachekwi (kanafata mkumbo)
masai dada (chipukizi)
Vijana wa daslam hovyo kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ngoja waje wale wa no malice..... Sijui nao hovyo waki ongozwa na Intelligent businessman
Ulienda senegalI mean no malice to nobody, Naomba tukemee kwa maombi Poor Brain, mshamba_hachekwi, Dahan, masai dada View attachment 2646534
Bado tuu yanasumbua ulikua unasoma sana aiseeeMs eyes macho bado yanauma??
Hamna, yalianza kuuma tangu nikiwa darasa la tatu nikaanza kutumia miwani kuanzia hicho kipindi mpaka nilivyofika form two nikaacha maana nilikuwa sipendi kutumia miwani. Naona sasa hivi yanarudi kwa kasi( yanatoka machozi😔)Bado tuu yanasumbua ulikua unasoma sana aiseee
Haya dawa hii hapa babe😜😂 Ms eyes, ila niambie Yana umaje kwanza???Yananisumbua vibaya mno.
Mkuu mi ni Mambo fulani tu, ila Nita survive🙏Bado tuu yanasumbua ulikua unasoma sana aiseee
Haya nenda duka la dawa, kanunue pedinilson ya vidonge, na xsone ya macho tu- Ni ya maji hiyo baby😜😂😂 Ms eyesYanatoa machozi😑
Pole sana aiseeee......Hamna, yalianza kuuma tangu nikiwa darasa la tatu nikaanza kutumia miwani kuanzia hicho kipindi mpaka nilivyofika form two nikaacha maana nilikuwa sipendi kutumia miwani. Naona sasa hivi yanarudi kwa kasi( yanatoka machozi😔)
Wee nasikia uliendaga china 😂😂😂Mkuu mi ni Mambo fulani tu, ila Nita survive🙏
Wale wale alaaah 😂😂😂I mean no malice to nobody, Naomba tukemee kwa maombi Poor Brain, mshamba_hachekwi, Dahan, masai dada View attachment 2646534
😅😅😅 Unapotea sanaaaHayaa mkujeee now... 😂😂😂 Bro National Anthem and sisy Bantu Lady