National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
ndio mke wangu yumo humu humu jf. nimeisha kuambia mcheki tu umlinde 😅😅😅😅Namaanisha nipe kazi ya kumlinda mkeo, we ukienda kazini😂😂
ndio mke wangu yumo humu humu jf. nimeisha kuambia mcheki tu umlinde 😅😅😅😅Namaanisha nipe kazi ya kumlinda mkeo, we ukienda kazini😂😂
😅😅😅 china si ndio hub yako kibiashara, sio unaenda bali unaishi hukoPoor Brain Nani alikuambia nilienda China😂😂😂🤔
Niko nanjilinjii mkuu😂😂😂😜 Poor Brain na National Anthem😅😅😅 china si ndio hub yako kibiashara, sio unaenda bali unaishi huko
Ukuje mkuu msimu huu wa matikiti aiseeeC.zone huwa napaelewa sanaa
C.zone ni mji mkuu wa tanzania huku kwa wajanja wa mjiniNdo wapi huko mkuu 🤔, yaani Niko nanjilinjii sielewi kitu😂😂😂
Kumbe uko huko mkuu, nipe dili Sasa 🙏🙏. Nimechoka kuchimba chumvi nanjilinjiiC.zone ni mji mkuu wa tanzania huku kwa wajanja wa mjini
Nilifatilia tuu..Poor Brain Nani alikuambia nilienda China😂😂😂🤔
Hapana kwanini unachoka mapema hivo wakati inabidi tupambane..Kumbe uko huko mkuu, nipe dili Sasa 🙏🙏. Nimechoka kuchimba chumvi nanjilinjii
Kazi ipi mkuu🤔😂😜😜, kuchimba chumvi na sululu au🤔Hapana kwanini unachoka mapema hivo wakati inabidi tupambane..
Alafu kazi unayofanya mbona full kiyoyozi mkuu
Ndio kabisa an....Kazi ipi mkuu🤔😂😜😜, kuchimba chumvi na sululu au🤔
ASANTEPole sana aiseeee......
Sasa hapo kula sana mchemsho wa mboga za majani yaani per week utaona mabadiliko
Tumia ndani ya wiki+ pedinilson kunywa vi4 kutwa Mara 2, asb-jioTHanks alot
Nipo bhana😂😅😅😅 Unapotea sanaaa
Upo wapi toa maelezo ya kushatoNipo bhana😂
wewe mambo yako si safi sasa hivi banaa.. fresh tu 😊😊Nipo bhana😂
Dahan ona bangi za vijana 😂😂😂, mh nanjilinjii ndo China kihaya Nini😂😂😂Nilifatilia tuu..
Nakumbuka ni wewe mwenyewe ukisema hivo kipindi kile natumia ID nyingine