National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Kwema ndugu! Habari ya asubuhiNational Anthem habari yako mkuu
Kwema ndugu! Habari ya asubuhiNational Anthem habari yako mkuu
Nipo na afya tele dj wa selfika....Kwema ndugu! Habari ya asubuhi
Njoo niyapulize 😉😉Yananisumbua vibaya mno.
Banaa wee kujipa raha ni maamuzi tu . hapa kamvua nimewekewa tu upajaa mkuuNipo na afya tele dj wa selfika....
Naona upo dasalamu una injoi kila leo
Hata katika ndoto zangu, Sina wai enda hata daresalaam😂😂😂 Poor BrainWee nasikia uliendaga china 😂😂😂
Ahahahahah hapo sasa 😂😂😂😂Banaa wee kujipa raha ni maamuzi tu . hapa kamvua nimewekewa tu upajaa mkuu
Nipe kazi ya ulinzi mkuu, nilinde🙏🙏Banaa wee kujipa raha ni maamuzi tu . hapa kamvua nimewekewa tu upajaa mkuu
Khaaa hapana mkuu acha masikhara na utani mi nipp serious banaHata katika ndoto zangu, Sina wai enda hata daresalaam😂😂😂 Poor Brain
supuu wapi mzeee.. nani akaangaike na majiko na mvuaa hii 🤣🤣🤣 nikupeana majoto tuAhahahahah hapo sasa 😂😂😂😂
Ushapata supu
😅😅😅mkubwa wa wezi umuachie lindo mbona hatari.. cheki umlinde mtu fulani mwenye mkia wa kondoo 😅😅Nipe kazi ya ulinzi mkuu, nilinde🙏🙏
Kwani mi naigiza mkuu😂😂😂Khaaa hapana mkuu acha masikhara na utani mi nipp serious bana
Daaah raha kweli kweli mkuu....supuu wapi mzeee.. nani akaangaike na majiko na mvuaa hii 🤣🤣🤣 nikupeana majoto tu
Nitabadilika mkuu, nipeni job jamani🙏🙏😅😅😅mkubwa wa wezi umuachie lindo mbona hatari.. cheki umlinde mtu fulani mwenye mkia wa kondoo 😅😅
Inabidi mpunguze vi dhambi vya hapa na palee 😅😅😅Daaah raha kweli kweli mkuu....
Yaan huku si ni jua tuh pakavu hatareee
Tatizo na wewe siku hizi umekua na masikhara mengi sana....Kwani mi naigiza mkuu😂😂😂
😅😅😅 night tuingie mzigoni sema leo watu wachache au tukapige matukio standa ya mafuli ila pale alfajiri ndio pazuri kwa kuibaNitabadilika mkuu, nipeni job jamani🙏🙏
Daaah wanasema huku centrol zone kuna shida sana... Dhambi huku hakuna kabisa ni vile tunaonewa tuuInabidi mpunguze vi dhambi vya hapa na palee 😅😅😅
Mkuu mi Niko serious jamani🙏🤔😅😅😅 night tuingie mzigoni sema leo watu wachache au tukapige matukio standa ya mafuli ila pale alfajiri ndio pazuri kwa kuiba
C.zone huwa napaelewa sanaaDaaah wanasema huku centrol zone kuna shida sana... Dhambi huku hakuna kabisa ni vile tunaonewa tuu
Watoto gani???, Wakati nakimbizana na nyani nanjilinjiiTatizo na wewe siku hizi umekua na masikhara mengi sana....
Kuna kikundi cha watoto wabadi unakifata 😂😂😂😂