Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,263
- 183,157
Asssantreeeeeeeeeehhh!Uko vizuri sana Ankol. Mimi bila msaada wa Alarm, mtu kuniamsha ama kama hivi simu mmmh napitiliza. Labda niwe nimekunywa kidogo sana my limit naamka. Jana vibe kubwa niliendelea tu. Kila wakitaja Yanga ndiyo walinivuruga 😂😂😂😂😂😂