JamiiForums Usiku wa manane
Haijanisaidia hata kidogo my wangu
Doh 🥹
Pole sana my wangu.
Me last month nilipata cha nimonia, nikapewa hizo azuma ‘huko nyuma nikikuwaga sijawahi zitumia hizo dawa.
Kwenda kutumia vikanishinda ule ukubwa wake 😂😂
Nikarudi hosp nikasema zile dawa siziwezi, nikaandikwa sindano 3.

Last week kuna pipo 2 nazo.. kifua, mafua kikohozi. Wamepewa azuma

Ulifika hosp? Dr alisikiliza kifua? Ukute ni nimonia af unaitibu km kifua cha kawaida lzima dawa ikatae
 
Nataka nirudi hospital tena
 
Back
Top Bottom