Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 415
- 466
Nimekunywa azithromycin dose imeisha, nimekunywa centrizine hizo tangawizi ndo usiseme
Dawa yako ni tangawizi and malimau[emoji6].. Achana na antibiotics
Nimekunywa azithromycin dose imeisha, nimekunywa centrizine hizo tangawizi ndo usiseme
Ntumie tu hela nikanunue mpaka ulete utachelewa
Yaani nainywa tangawizi hadi sio poa 😀😀Dawa yako ni tangawizi and malimau[emoji6].. Achana na antibiotics
😀😀😀😀😀😀😀😀Chukua hiyo [emoji385]
[emoji4][emoji3]
Yaani nainywa tangawizi hadi sio poa [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakunywa ya kuchemshaUnajua kuiandaa??
Nakunywa ya kuchemsha
Nakunywa ya kusaga
Labda kama kuna maandalizi mengine nigaie
Kifua bado kinavuta ?Nimekunywa azithromycin dose imeisha, nimekunywa centrizine hizo tangawizi ndo usiseme
Kinabana, napumua kwa tabuKifua bado kinavuta ?
😀😀😀😀asubuhi nakupigia unipe darasaUnahitaji private class
Sasa nikupe dawa ya mtishamba, sijui utaiwezaKinabana, napumua kwa tabu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]asubuhi nakupigia unipe darasa
TAMU hiyo. Ukute mmeamka mka piga mswaki kabisa halafu mmeshaenda kukojoa na mama ameipiga maji na kujifuta vizuri.04:13 am … round ya mwisho ..
Hosp wamekuacha salama na azuma?Kinabana, napumua kwa tabu