Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,327
- 37,744
Muda wa kimoja cha nusu saa ya kutafuta j5 tulivu
Kaka umenipotea kabisaPole Sana natumaini unaendelea vyema, vipi hali yako kwa sasa?
03:0903:03
Hata kama hujalahakuna kulala!!
Tuko pamoja mkuu.Leo Napita fyaaaaaaa kwa sababu si zamu yangu
Pamoja sana mkuuTuko pamoja mkuu.
04:5903:09
Nipo mkuu jf naingia kwa mbinde SanaKaka umenipotea kabisa
Bora upumzike maana ulikuwa ufany kazi mda wote jfNipo mkuu jf naingia kwa mbinde Sana