National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Au ndio maandalizi ya MG!Yaani acha tu
Naumwa rafiki angu hata usingizi haujiAu ndio maandalizi ya MG!
Pole Sana tatizo nini dear?Naumwa rafiki angu hata usingizi hauji
Naumwa rafiki angu hata usingizi hauji
Kifua rafiki anguPole Sana tatizo nini dear?
Asantee rafiki angu mwana mpotevu 😀Pole Rafiki..Get well soon
Pole sana, umetumia dawa gan mpendwa katika bwana?Kifua rafiki angu
Nahema kwa tabu kitandani hakulaliki niko sitting room nimekaa
Asantee rafiki angu mwana mpotevu [emoji3]
Nimekunywa azithromycin dose imeisha, nimekunywa centrizine hizo tangawizi ndo usisemePole sana, umetumia dawa gan mpendwa katika bwana?
Ntumie tu hela nikanunue mpaka ulete utachelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] karibu sana Rafiki.. dawa zipi nkuletee?