Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kumbe alonambia kuwa kawaona mkiianza safari kwa miguu kanidanganya eeeh! Ngoja kesho nikakodi kikundi cha wasutaji tukamsuteDuuuh tunaanzaje wakati tuliijua safari? Huwa tuna fungi lake since January haijalish vyuma vimekaza au vipi

