Huyo hapana kaka, nahitaji wa kike 😅😅😅Coca atafaa😆😂😁😀
Mpe tu adhabu haonekani siku hizi au ayeye analea 😀Yupo hapa, nataka kumpa adhabu kwa kuchelewa 😆😂
Mzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha wezi😀😆😁😂Sawa Mimi ni rofa nipo lindo haya nataka kula zao hao walinzi niingie kwenye team hapo au nini sasa ?
Ningekupa Lovelovie sema ndo ana ukorofii huyooHuyo hapana kaka, nahitaji wa kike 😅😅😅
Umekuwa hadimu sana mzee wa mishangazi 😀Nipo kaka 😅😅
Analyse mishanga, I mean no malice to nobodyUmekuwa hadimu sana mzee wa mishangazi 😀
Huyo ajiunge tu chama kikue 😀Mzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha wezi😀😆😁😂
Shida ana mbwembwe Sana😀😆🤔, asije kuwa askariHuyo ajiunge tu chama kikue 😀
Mpe kitengo huyo 😅😅Mzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha wezi😀😆😁😂
Nipo kaka. Leo nitakuwa lindo mwanzo mwisho 😅Umekuwa hadimu sana mzee wa mishangazi 😀
Dah kaka Intelligent businessman , Unaona mrembo uliyenichagulia ananiwekea vikwazo? 😅😅😅Hivi unajua Analyse ni kaka angu wa kwanza ukitoka ww.
Wote vijana haina maana kunyimana 🙉🙊, Analyse na LovelovieDah kaka Intelligent businessman , Unaona mrembo uliyenichagulia ananiwekea vikwazo? 😅😅😅
Kumbe Mimi na yeye ni ndugu
🤝🤝🤝👆 Nasubiri CV yake hapa...🤓🤓🤓Mzee wa kupambania, Analyse, National Anthem, Poor Brain, na stow away mna kubali huyu Jamaa ajiunge na chama Cha wezi😀😆😁😂
Acha tuone kama kweli 😂Nipo kaka. Leo nitakuwa lindo mwanzo mwisho 😅
Nipo hapa CV nishakabidhi kwa Intelligent businessman emu mpe CV yangu chap nishakula kula 2 kule juu asee usiniangushe hapo parefu🤝🤝🤝👆 Nasubiri CV yake hapa...🤓🤓🤓