Khaa uko online sio...how was your day?
Naam!! Mbona unashangaa bibiye, siku yangu imekua bombaa sijui kwako wewe ??Khaa uko online sio...how was your day?
Nmeona umekuja fastaa..me pia ni nzurNaam!! Mbona unashangaa bibiye, siku yangu imekua bombaa sijui kwako wewe ??
Nmeona umekuja fastaa..me pia ni nzur
inapendeza zaidi, data ipo on kwa hiyo notification nazipata haraka,Karibuuu sikuhz unakujaga sa ngapi?Mida ya wakware!
Oho!! Lipi hilo tenaInna na dingimtoto MNA shitaka la kujibu
Jana mliniacha kwenye mataa were na Inna...mlienda wapi?Oho!! Lipi hilo tena

Kumbee full bandoo![]()
inapendeza zaidi, data ipo on kwa hiyo notification nazipata haraka,
Enhe za majukumu ya tanzania ya viwanda
Jana mliniacha kwenye mataa were na Inna...mlienda wapi?![]()
![]()
kaone wakt we ndo uliniacha angalia msg yangu ndo ya mwisho janaJana mliniacha kwenye mataa were na Inna...mlienda wapi?![]()
![]()
hili swali ningeomba ajibu 
Siku hizi nina bosi mpya, yaani simu yangu ikimuona inajisogeza kwake asome nachoandika. We acha tu Mungu anamuona!Karibuuu sikuhz unakujaga sa ngapi?
Siku hizi nina bosi mpya, yaani simu yangu ikimuona inajisogeza kwake asome nachoandika. We acha tu Mungu anamuona!

Naam!!! Ipo full mim tu nishindweKumbee full bandoo
We ncheke tu, nimekonda hadi kibyongo!
We we na dingimtoto mlipotea ghafla katika mazingira ya kutatanisha, nikaona isiwe tabu nikaondoka zangu,Mara ghafla nawaona mmeibuka tena pamoja asubuhi kuja kufunga geti![]()
kaone wakt we ndo uliniacha angalia msg yangu ndo ya mwisho jana