T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Funguo zako sio za kichina kweli?Nafungua getiiii
ingependeza zaidi ungeandika peoplezPopoooooziiii
Noo ni popoziii ...mda wa popo huuFunguo zako sio za kichina kweli?![]()
ingependeza zaidi ungeandika peoplez
Karibu tena kwa siku ya leoNaona ni siku nyingine tena hodii humu...!
Asanteh...!! Uhali gan wewe?Karibu tena kwa siku ya leo
Me mzima kabisaa..sijui wwAsanteh...!! Uhali gan wewe?
Bukheri wa afya, namshukuru Mungu weekend ilikuaje? KwakoMe mzima kabisaa..sijui ww
Sio mbaya jana nmewasubiria hapa sijui ndo mambo ya outing za weekend hamjaonekanaBukheri wa afya, namshukuru Mungu weekend ilikuaje? Kwako
Aisee,pole mim jana nililala saa4 usiku maana nilikua na majukumu mazito mno, ila nashukuru nimeyatekeleza vilivyoSio mbaya jana nmewasubiria hapa sijui ndo mambo ya outing za weekend hamjaonekana
Aisee,pole mim jana nililala saa4 usiku maana nilikua na majukumu mazito mno, ila nashukuru nimeyatekeleza vilivyo
Naona umerudi kasi ya4G
Umeonaa eeNimeiona hiyo inabid utafutiwe zawadi![]()
Umeonaa ee
Na nan sasa?Nimeiona hiyo inabid utafutiwe zawadi
Asante mamy, kwa kutufungulia getiNafungua getiiii
Karibu sana....Naona ni siku nyingine tena hodii humu...!
Afadhali umekuja nilitaka kushangaa usiwepoAsante mamy, kwa kutufungulia geti
Dah! Watu mko makini na hayo mambo ya kufunga mwaka00:32am
20.11.2017
Monday
Bado siku 40 kuingia 2018
