Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,488
- 65,841
Itakuwa huyo jamaa kabisaHahaa pole isije ikawa ni National Anthem maana saivi mtaa hausomeki
Itakuwa huyo jamaa kabisaHahaa pole isije ikawa ni National Anthem maana saivi mtaa hausomeki
Wakati mwingine Mungu hujitwalia utukufu kupitia madhaifu yetuUnajua natamani kufanya mema lakini nakutana na hii changamoto aliyoisema Paulo katika Waroma 7:19 kila siku ninasali sana Mungu anisaidie niishinde hii hali
Waroma 7:19 BHN
19. Yaani, badala ya kufanya lile jambo jema ninalotaka, nafanya lile baya nisilotaka.
AminaWakati mwingine Mungu hujitwalia utukufu kupitia madhaifu yetu
Sijui hata ilikuwaje mkuu, nashtukia pamekucha 😅😅😂😂 au nawe ushakuwa mwizi mzoefu
I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 panga mkononiTayukwa unatafuta cha asubuhi? Embu njoo hapa Intelligent businessman acha kuangalia move ase Analyse Mzee wa kupambania Gily Bantu Lady Dahan Mr kenice njooni hapa
Ewe chambo wa chama Cha wezi Analyse naona unataka kukikana chama ehh, kuwa makini Mana tutakuibia Hadi harufu ya kwapa lako 😀😁Sijui hata ilikuwaje mkuu, nashtukia pamekucha 😅😅
I mean no malice to nobody, Sera zetupanga mkononi
Roho begani
Ain't my business, I mean no malice to nobodyMwezio kapigwa uku leo
Ain't my business, I mean no malice to nobody
Sometimes acha, use,nhgeUtakuja kuuliwa oho acha wizi
Nakuambia ukweli bhna ukikasilika kufa 😂 sitakikinkukupoteza mshikaji wanguSometimes acha, use,nhge
imi nipo cuba bhna ndio kwaza saa tanoKwani nyie wenzetu mko wapi ambako sasa hivi ni usiku wa manane? Maana uzi upo active muda wote huu.... Kama we Analyse si upo Tandahimba wewe
Tupo Bermuda triangle, I mean no malice to nobodyKwani nyie wenzetu mko wapi ambako sasa hivi ni usiku wa manane? Maana uzi upo active muda wote huu.... Kama we Analyse si upo Tandahimba wewe
Kwani nyie wenzetu mko wapi ambako sasa hivi ni usiku wa manane? Maana uzi upo active muda wote huu.... Kama we Analyse si upo Tandahimba wewe