Tuko pamoja lindoniJamii forums usiku wa manane reporting time 0100hrs
Kadoji mapema tu ndiyo kwanza saa 03:10
Kwani nani leo kaniweka kwenye zamu eti kamanda Johnnie WalkerTayukwa unatafuta cha asubuhi? Embu njoo hapa Intelligent businessman acha kuangalia move ase Analyse Mzee wa kupambania Gily Bantu Lady Dahan Mr kenice njooni hapa
Daku ya Uarabuni kabisa hiyoNakunywa zangu maziwa na tende.
03:30
Kwani nani leo kaniweka kwenye zamu eti kamanda Johnnie Walker
bado tupo
nipo na shemeji yako hapa tulikua tunakiwasha 😂Wew mtoto lala
nipo na shemeji yako hapa tulikua tunakiwasha![]()
umewaka kisawasawa 😂Ahahahaha moto umekubali kuwaka?
umewaka kisawasawa![]()

unapitwa na vitamu 😂Utafia kitandani wew dogo umri wako bado![]()