Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,656
Somo la leo, tujifunze kutoa kuliko tunavyopokeaKazi ipo
Somo la leo, tujifunze kutoa kuliko tunavyopokeaKazi ipo
Kulala kunaozesha mwiliMlale
Napitisha kapu la sadaka, utatoa kiasi ganiAmen Amen
Mkuu mimi sio mtu wa dini...Somo la leo, tujifunze kutoa kuliko tunavyopokea
Hahaha Mimi nakusanya mwenyewe kwenye namba yangu 0757220220.Napitisha kapu la sadaka, utatoa kiasi gani
Unadumisha mila za zama za mawe za kale?Mkuu mimi sio mtu wa dini...
😀😀😀 na hivi huwa hazikaguliwi na cagHahaha Mimi nakusanya mwenyewe kwenye namba yangu 0757220220.
Siamini.Unadumisha mila za zama za mawe za kale?
Sababu ya michango au?Siamini.
Sawa mkuu Mimi nipo hapa nashusha prayer point Moja baada ya nyingine.....Kulala kunaozesha mwili
2:5402:51
sababu mungu hayupo, ameumbwa na fikra za binadamuSababu ya michango au?
Sala yenyewe haitoshi, uza vitu vyako vyote uwagawie masikiniSawa mkuu Mimi nipo hapa nashusha prayer point Moja baada ya nyingine.....
Matajir NDIO waliambiwa ivyo mm sio tajiri......Sala yenyewe haitoshi, uza vitu vyako vyote uwagawie masikini
HatulaliMlale
Kweli kutoa ni kipajiMatajir NDIO waliambiwa ivyo mm sio tajiri......
Siku ukijua Nguvu iliyopo usiku wa manane...Sala yenyewe haitoshi, uza vitu vyako vyote uwagawie masikini
Huwa natoa sana...Kweli kutoa ni kipaji
Leta ushuhudaSiku ukijua Nguvu iliyopo usiku wa manane...
Kwenye ulimwengu wa kiroho you can conquer everything....
Mm ni ushuhuda MUNGU yupo na anatenda.....