National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Aaah barekeSimba oyeeee
Muda wa ibada huuuAaah bareke
Mkuu ibada umemaliza Mkuu , na je umesoma zaburi 23: SUV04:55
Nimesoma Zaburi ya kwanza.Mkuu ibada umemaliza Mkuu , na je umesoma zaburi 23: SUV
Naomba umtafute mzee wa hizi Kazi Mzee wa kupambania ili aokoke na AOE ili amtumikie Mungu.
Nipe maelekezo mwaisaTayukwa unatafuta cha asubuhi? Embu njoo hapa Intelligent businessman acha kuangalia move ase Analyse Mzee wa kupambania Gily Bantu Lady Dahan Mr kenice njooni hapa
Nlisinzia lindoni 😅😅😅Tayukwa unatafuta cha asubuhi? Embu njoo hapa Intelligent businessman acha kuangalia move ase Analyse Mzee wa kupambania Gily Bantu Lady Dahan Mr kenice njooni hapa
😂😂 au nawe ushakuwa mwizi mzoefuNlisinzia lindoni 😅😅😅
Umechelewa kuna mtu alikuwa anataka kuniibiaNipe maelekezo mwaisa
Napambana sana ndugu yangu kuacha maovu si rahisi ila haya maneno ya Mtume Paulo yananipa ujasiri kuwa nitawezaMkuu ibada umemaliza Mkuu , na je umesoma zaburi 23: SUV
Naomba umtafute mzee wa hizi Kazi Mzee wa kupambania ili aokoke na AOE ili amtumikie Mungu.
Hahaa pole isije ikawa ni National Anthem maana saivi mtaa hausomekiUmechelewa kuna mtu alikuwa anataka kuniibia