Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,225
- 96,108
Nah it's just I,me & myselfMe, you and them..
Nah it's just I,me & myselfMe, you and them..
And vise versa is truuu😂😂Nah it's just I,me & myself
Nimeona vijana hawako serious siku hizi ngoja nilkamatie lindo mwenyewe 🤣🤣🤣Bro.. Leo mapemaaa😂😂
Mchiba chumvi in da buildingAnd vise versa is truuu😂😂
Mr chumvi in da buildingNimeona vijana hawako serious siku hizi ngoja nilkamatie lindo mwenyewe 🤣🤣🤣
Unazama chumvini mkuu?Mr chumvi in da building
I mean no malice to nobody, Mr mchimba chumviUnazama chumvini mkuu?
I mean no malice to nobody01:57 Mr mchiba chumvi
Pole sana mkuu mimi mafua ilikuwa jana yanamwagika leo naona ndo yanaishia ishiaMafua na koo vimenikaba yaani namwaga kamasi tu kama kondoo
Tuko lindo hapa tunatafuta tu kampani tusilale 😅Si mlalale, wakuu. 🤥
Na baridi yote hii aisee! 😀Tuko lindo hapa tunatafuta tu kampani 😅
Acha mkuu niko na kakirungu kangu hapa nalinda maduka ya WahindiNa baridi yote hii aisee! 😀
Sasa rungu itasaidia nini wakati majambazi wanakuja na chuma. 😀Acha mkuu niko na kakirungu kangu hapa nalinda maduka ya Wahindi
Kweli hivi ni vituko. Kampuni wamesema watanipa goboleSasa rungu itasaidia nini wakati majambazi wanakuja na chuma. 😀
Hawakupendi aisee 😁Kweli hivi ni vituko. Kampuni wamesema watanipa gobole