Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
Ni hivi vikampuni vidogo mishahara yenyewe kulipwa mpaka tarehe 40 hadi 43 huko š¤£Hawakupendi aisee š
Ni hivi vikampuni vidogo mishahara yenyewe kulipwa mpaka tarehe 40 hadi 43 huko š¤£Hawakupendi aisee š
Hatari sana, havijali usalama wako.Ni hivi vikampuni vidogo mishahara yenyewe kulipwa mpaka tarehe 40 hadi 43 huko š¤£
Jamaniiš¢02:40. a.m
Unaamka ama unalala?
RIP fredwaa
Tupogo jana na leoWatuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kweli Brigedia, ngoja na mm nimbonji nisubiri morning gloryLeo pamepoa sana
š¤£š¤£Bora tuwe wengi.pole mkuuš¤Mafua na koo vimenikaba yaani namwaga kamasi tu kama kondoo
Mh af kuna nyama ibaki leo ngoja nikule yote23:14
Msile nyama siku ya ijumaa kuu
Wahi chap kabla ya saa 6 mkuu.Mh af kuna nyama ibaki leo ngoja nikule yote
tavimbiwa nahitaj msaada wa kulaWahi chap kabla ya saa 6 mkuu.
eo ndio unawaonaDar Kuna mbu Hawa leo ni man to man