JamiiForums Usiku wa manane
Nahisi balimi zishakupofusha macho tayari kilichobaki ni kukusahaulisha lugha yako na kukukumbusha lugha ya malkia.....ukifikia hatua hiyo unambie ili nikuage usije niaibisha bure
Hahaha ujue nimeacha balimi ni saa 12 sasa zishapita, ndo najipongeza hapa na balimi 2 kwa kufanikiwa kuacha pombe
 
Sio waoga,nasikia kwao pia vyuma vimekaza,hawana pesa za kununulia nyungo za kusafiria
Hahaha, zile huwa haziuzwi ujue, tatizo wanga wa siku izi wamezidisha ubarobaro na usistaduu tofauti na enzi zetu, wengi wao saivi wako club
Mfano juzi saa 2 usiku nimekutana na mwanga sistaduu kapaka mekapu
 
Walah aliyekuroga alishakufa.....fanya mpango uje nikurogoe kwa kutumia mkojo wa sisimizi na machozi ya samaki

Kwa uaguzi huo, ni heri niendelee na dozi ya balimi, wewe aliyekuloga ndo atakua sio kafa tu, mpaka nywele zake zishadecompose
 
Back
Top Bottom