Bibie mbona uliacha geti wazi?Nlijua m melala
Hahaha mbona nimeingia sijamkutaAliacha wazi ili uingie![]()
![]()
![]()

Mwanangu popo huna macho....mbona kaketi hapo jirani yakoHahaha mbona nimeingia sijamkuta![]()

Karibu mkuu00:15 naanza shift 2
Hivyo viemoj kuna mtu kaniambie akinikwoti havitokei, hebu jaribu basi nihakikishe kama anasema kweliMiss you more my dearest![]()
![]()

Yamkini nanyi pia ni wangaTunakesha mida ya wnga
Hahaha mimi hua mida ya popo sioni vizuri, ngoja nisubiri mida ya bundi ifike nifanye ukaguziMwanangu popo huna macho....mbona kaketi hapo jirani yako![]()
![]()

Kuna uzi umeanzishwa wa kumtumia memba viemoji,kautafute nimekutumia huko na vimetokea...Hivyo viemoj kuna mtu kaniambie akinikwoti havitokei, hebu jaribu basi nihakikishe kama anasema kweli![]()
ukivikuta unitagWanga siku izi waoga sana, saivi washaenda kulala.Tunakesha mida ya wnga
Nahisi balimi zishakupofusha macho tayari kilichobaki ni kukusahaulisha lugha yako na kukukumbusha lugha ya malkia.....ukifikia hatua hiyo unambie ili nikuage usije niaibisha bureHahaha mimi hua mida ya popo sioni vizuri, ngoja nisubiri mida ya bundi ifike nifanye ukaguzi![]()
Wacha weeh, ila kwa huo mkonyezo naona kuna kamchezo unanichezeaKuna uzi umeanzishwa wa kumtumia memba viemoji,kautafute nimekutumia huko na vimetokea...![]()
ukivikuta unitag

Sio waoga,nasikia kwao pia vyuma vimekaza,hawana pesa za kununulia nyungo za kusafiriaWanga siku izi waoga sana, saivi washaenda kulala.
Usisahau tu kurudi maana huko,umetumiwa emoji kibao na memba ke, Neybright akiwa miongoni mwao...Wacha weeh, ila kwa huo mkonyezo naona kuna kamchezo unanichezea![]()
Anyway ngoja niwahi naleta mrejesho saivi![]()
![]()
