JamiiForums Usiku wa manane
Aisee, hongera komred kwa kupata fungu lililo jema, mimi fungu nililochagua mpaka nakuja lindoni lilikua kwenye vikoba.
Hii inaonesha,tangu ulivyotoka saa nne asubuhi baada ya chai....hujarudi tena nyumbani. Sasa nimeelewa kwanini yule bi dada wa juzi alikataa wanaume walevi!
 
Wacha wee.... Utamuua kwa wivu nduguyo Nleterewa Nganengo
Hahaha mimi wala sipendi watu watundu, nikipiga mahesabu nina glass nyingi sana humu ndani na meza ya kioo
Alafu mbaya zaidi kitanda nilichonacho ni cha teremka tukaze
 
Wewe unayekesha unatongoza wanga wa kike na kulalia balimi ndo huna dhambi? Kweli wewe Mirembe day haijakusaidia hata,inabidi nikupeleke kwenye maombi ya kulipia...
Hahaha kweli umenichoka, ujue nimesoma vitabu vyote vya dini sijaona sehemu palipoandikwa kuseduce au kukata kiu na balimi ni dhambi
Ukipaona nishtue
 
Hahaha kweli umenichoka, ujue nimesoma vitabu vyote vya dini sijaona sehemu palipoandikwa kuseduce au kukata kiu na balimi ni dhambi
Ukipaona nishtue
"Walevi na wa.... awataiona mbingu" Sasa kama unatafuta palipoandikwa neno balimi,endelea kujichochelea moto utakaokuunguza milele
 
Hii inaonesha,tangu ulivyotoka saa nne asubuhi baada ya chai....hujarudi tena nyumbani. Sasa nimeelewa kwanini yule bi dada wa juzi alikataa wanaume walevi!
Hahaha Bundi Thad bhana, chai yenyewe napikaga mwenyewe yeye vukoba vyake vinaanza saa 11 alfajiri mpaka mida isiyojulikana
 

Kwani kuna sehemu nimezungumzia utundu wa kitandani?
Kweli Leo umeamua kuwaza mbali tu
Nimeunganisha .....za utundu na kitanda cha teremka tukaze.
Uje nikuazimishe tu kilago changu nilichorithishwa na bibi yangu japo kina kunguni,ila hutapata adha ya kuhofia wageni watundu kwako
 
Kwa zile brekifasti zako za supu ya nungu nungu na ulimi wa mamba,lazima mke akukimbie alfajiri ili ubaki unajipikia mwemyewe

Naona umeamua leo kunitolea stress zote, ngoja niongee na mshiki angalau akupe ka chance ka kumwona the hanter, nafikir huu uchochezi utapungua
 
Back
Top Bottom