ndio tumefunga kk leo ndio nalud home nafikia kwakDogo mmefunga shule,naona inasumbua watu
Kwangu? Utaweza? Nalala stend,kituo chochote Cha daladala natandika box nalala,kambi kokote,nenda kwenu ukawasaidie wazazi mpaka shule zifunguliwendio tumefunga kk leo ndio nalud home nafikia kwak
nipo nimejaa kweli ila ndio naamka sasa 😅😅
Www si unakaa masaki natak nitoe ushamba kidogoKwangu? Utaweza? Nalala stend,kituo chochote Cha daladala natandika box nalala,kambi kokote,nenda kwenu ukawasaidie wazazi mpaka shule zifunguliwe
Mambo yako gud kabisa. Nipe ripotiHamjambo wajumbe madam boss Bantu Lady, mcharuko Dahan, mwizi anaye chipukia@national anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, na chambo wa chama Cha wezi Analyse mseti michongo Awiaman ooza
Kama haujafa, basi ni gud, 👉Sera zetu 👉 Panga mkononiMambo yako gud kabisa. Nipe ripoti
Basi vita iendelee 😀Kama haujafa, basi ni gud, 👉Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉 Roho begani
Kuwa makini, siku ya kukutongoza nisikuibie 😂😂. I mean no malice to nobody DahanBadoo nitakusubiri tuu usiwaze.. 😂😂😂
I mean no malice to nobodyBasi vita iendelee 😀
I mean no malice to nobody, I love i, me & myselfBadoo nitakusubiri tuu usiwaze.. 😂😂😂
Asante ukhty Sandy360 hope itakuwa hivyoo, maana niliambiwa na madam Bantu Lady ye ndo atanifunguaa😎😆Hakuna lishindikanalo jw mungu tuseme inshallah![]()
Afu mi mwenyewe litoto tu, I mean no malice to nobodyIt's true ila si lazima utatafuta mtoto hivyo lazima uchague pisi nzuri ikuzalie watoto wazuri sasa hapo kuna vihela vya huduma lazima utoe
Au hutaki watoto 🤔
Mkuu nipo nakimbizana na kujenga uchumi wa hii nchi inayoongozwa na mama yetu mpendwaUchira 1 nambie mkuu