Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,393
- 96,699
01:29 Awiaman ooza wapi hiyo kijana??
Dogo mmefunga shule,naona inasumbua watuSikia ata nisipotoa mchanga ukumbini nitakuja na kitakula na kunyws na una chakunifanya 😂
PresentHamjambo wajumbe madam boss Bantu Lady, mcharuko Dahan, mwizi anaye chipukia@national anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain, miyeyusho stow away, na chambo wa chama Cha wezi Analyse mseti michongo Awiaman ooza
Miyeyusho on the beatPresent
01:53
Yes sir namuona mwizi wa kimataifaMiyeyusho on the beat
I mean no malice to nobodyYes sir namuona mwizi wa kimataifa
No Malice To Nobody
NMTN
Yes sir I mean no Malice To Nobody, you're welcome you, yourself & yoursI mean no malice to nobody
Iam singleeSalaam 😎😎😎
Nahhh ain't my favorite 😎😎Mingle with cappuccino 😁😁😁😁
Mkuu ukisikia Danger Hill,Bwawa la samaki ,Mpika, Mkushi ,elewa hiyo ni T2,kaburi la malori mengi ya kitanzania na IT!T2 ndio ?
02:03
Exactly mkuu,starehe ni gharama, tutafute pesa na uzee wote mwisho Kitonga Pass!Inabidi utafute money 💵💰💸 mwanamke hatongozwi sikuizi 😃🤔
Natafuta pesa, ili niishi maisha yangu, Mimi, wazazi na ndugu zangu asap.Inabidi utafute money 💵💰💸 mwanamke hatongozwi sikuizi 😃🤔
Jeshi ya kamjeshi hoyeeee😂😂Nilikuwa nasikiliza singeli ya tafuta hela daaah asee one of the best music aseee kumbe kuna mda bangi sio mbaya ule wimbo ni facts tupu 🎼🎼🎧👂