Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,264
NitakutoaMkuu nitafungwa🤣🤣🤣 Au hujui sheria???
NitakutoaMkuu nitafungwa🤣🤣🤣 Au hujui sheria???
Nilizima simu mvua na radi kali vilikuwa vinatishaKwahiyo umesaini then ukapotea?
Niliwaita mkaniacha pekeyangu 😔
Ooo poleNilizima simu mvua na radi kali vilikuwa vinatisha
Nipo cuteI miss u
😅😅😅 usioe tu, na kama unataka kuoa uoa mwanamkeIntelli reporting, hivi mnanishauri nioe binti mpya au nioe single maza 🤔🤔 Bantu Lady, Dahan, Poor Brain, Mzee wa kupambania, National Anthem, stow away, Uchira 1
Wa kuchomesha nakushauri usioe subiri kwanza mpaka GOD aseme YES, haya subiri hapo hapoIntelli reporting, hivi mnanishauri nioe binti mpya au nioe single maza 🤔🤔 Bantu Lady, Dahan, Poor Brain, Mzee wa kupambania, National Anthem, stow away, Uchira 1
Ooooifu Yeeeeaso Bad! 🎶MZiki kwa mbaali
Hii ni bia ya Coca cola mbon naona kizibo Cha Coca cola hapo mkubwa wangu ? Imekuaje ?Namwagilia moyo *****....View attachment 2573462
Mwanamke mpumbavu
Umeshituka nini 🤔🤔Wa kuchomesha nakushauri usioe subiri kwanza mpaka GOD aseme YES, haya subiri hapo hapo
Nimeshtuka
Aisee mkuu, ulikunywa binzarii ya njano nini 🤣😂😅😅😅 usioe tu, na kama unataka kuoa uoa mwanamke
Family is all about family, kwani akiwa na mtoto kuna ubaya. Eti madam Bantu Lady, Dahan, Johnnie Walker, National Anthem, stow away, Mzee wa kupambania[/USER @Analyse ] 🤔🤔Swali zuri sana. Je, ungependa uanze mechi 1-0 au 0-0?
Halafu mkuu, I'd yako ya kwanza- ni ipi??Hahaha Truth = Pain 😁😁😁😁😁😁
Chitakiiii, 😂😂Me, you and them😂
😅😅😅 ujue kuna Mwanamke hapa mfano ni Bantu Lady ..Aisee mkuu, ulikunywa binzarii ya njano nini 🤣😂
Eti vi slaikwiini na visichana 😂🤣😎😅😅😅 ujue kuna Mwanamke hapa mfano ni Bantu Lady ..
Kuna vibinti 😀😀 vipo vingi sana hivi, kuna
Vidada, vi slaikwiini, ukikosa mwanamke oa msichana ila sio kisichana
Issue kupata mwanamke, ukikuta kijana ana jadiri au kutumia kigezo kuwa kaisha zaa au bado hujui bado huyo hajakomaa. Kuna wanawake wamezaa ni bora mala 1000 ya ambao hawajazaa.. tatizo vijana siku hizi wanatekwa na hisia na tamaa zaidi na wanajikuta wanakosa vilivyo bora.. unakuta alie zaa ndio mke ulie kusudiwa kabla hujazaliwa na unakuta alizaa kwasababu wewe ulichelewaaa 😅😅😅Family is all about family, kwani akiwa na mtoto kuna ubaya. Eti madam Bantu Lady, Dahan, Johnnie Walker, National Anthem, stow away, Mzee wa kupambania 🤔🤔
Kaaa mbali navyo kabisaaaa 😅😅😅Eti vi slaikwiini na visichana 😂🤣😎