JamiiForums Usiku wa manane
Feeling confused, hivi sometimes wanao tuangusha ni watu wetu was karibu zaidi🤔🤔
👉Baadae nitajua mbivu na mbichi.
I mean no malice to nobody, ilaa😎
 
Aisee leo ni nani kiongozi wa zamu hapa!,
Sasa kwa kulala hivi si mnaweza ibiwa kabisa??

Nimekutana na kundi la vijana wa hovyo mtaa wa tatu tu hapo laiti wangeanzia huku tungesema mengine
Haya sasa yuko wapi
Awiaman ooza akae pale getini
Wee Mkerewe hakikisha tank halikauki maji huyu Dahan asicheke kabisa na kima yeyote ataekatisha maeneo ya hazina na kutaka kuvunja kufuli
Wee Intelligent businessman naomba niitie vijana wako wale wa emergency kama kina zwenge ndaba Kitimoto
Usiache kumuita kijana hodari wa mapambano makali Half american .
Kwa usalama wa ofisi na afya za watumishi nitamsisitiza Bantu Lady aje kukaguakagua afya zenu.

Naamini ulinzi wa kundi hili utakuwa sawa
 
Back
Top Bottom