JamiiForums Usiku wa manane
Issue kupata mwanamke, ukikuta kijana ana jadiri au kutumia kigezo kuwa kaisha zaa au bado hujui bado huyo hajakomaa. Kuna wanawake wamezaa ni bora mala 1000 ya ambao hawajazaa.. tatizo vijana siku hizi wanatekwa na hisia na tamaa zaidi na wanajikuta wanakosa vilivyo bora.. unakuta alie zaa ndio mke ulie kusudiwa kabla hujazaliwa na unakuta alizaa kwasababu wewe ulichelewaaa 😅😅
Nimependaa Sana hi💪💪😍, ishi Sana mwizi mwenzagu
 
Haina shida mimi wife to be wangu ana mtoto mmoja ana miaka miwli lakini nnatarajia oa uyo
Real Man, huwezi kuta ana shusha value ya mwanamke kwasababu amezaa .. vijana tu ndio wana kelele na wimbo wa single mother ila tulia mature tunaangalia alie mwanamke na ni mama ndani.. sio mwanamke mwenye udada ndani 😅😅
 
Umemaliza kila kitu kuzaa sionishu ila vijana wapumbavu ndio wana beza unaoa asiye zaa anafuga kuvha utfikili anaenda kufukua viazi vitamu
 
Back
Top Bottom