fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
04:24
Hahaha Truth = Pain 😁😁😁😁😁😁Dogo umenipa hamasa ya kuendelea kutafuta pesaaaa, ila ule uzi wako ni mchungu aisee Awiaman ooza
Duh mimi pia nakojoa pazuri 🤣😂 umenisahauAsap rocky anakojoa pazuri akifwatiwa na jay z 😁😁😁😁
Wapi ww pazuri kwa amina ndala ndefu au mwajuma chupi kubwa 😂😂😂😂😂😂😂 kaa kwa kutulia tafuta hela.Duh mimi pia nakojoa pazuri 🤣😂 umenisahau
Kwahiyo unakataa kwaza jiandae twende kanisaniWapi ww pazuri kwa amina ndala ndefu au mwajuma chupi kubwa 😂😂😂😂😂😂😂 kaa kwa kutulia tafuta hela.
Mwenzako jay z anakojoa kwa mwanamke pekee mwenye grammy nyingi duniani (32) we acha zako ww 😁😁😁😁😁😁😁 View attachment 2573488View attachment 2573489View attachment 2573490View attachment 2573491
Mi ni msabato kwenda kanisani leo hairuhusiwi ♌😁Kwahiyo unakataa kwaza jiandae twende kanisani
a lala umekesha sana leo lalaMi ni msabato kwenda kanisani leo hairuhusiwi ♌😁
Im a midnight walker 😁😁😁😁 karashikaAy
a lala umekesha sana leo lala
Sikia ngoja nijiandae leo dominika ya matawi naenda kusali kenya naenda ma ndege narudi na ndegeIm a midnight walker 😁😁😁😁 karashika
😑😑😑😑😑 Ukivuta bangi 🚬🚬🚬 usile maandazi kula ushibe ili akili isije kufetuka kaa chonjo 😁😁😁Sikia ngoja nijiandae leo dominika ya matawi naenda kusali kenya naenda ma ndege narudi na ndege
Www sijavuta bangi bhna nimechanganya pepsi na kokakola sawa😑😑😑😑😑 Ukivuta bangi 🚬🚬🚬 usile maandazi kula ushibe ili akili isije kufetuka kaa chonjo 😁😁😁
Haya bana safari njema RCWww sijavuta bangi bhna nimechanganya pepsi na kokakola sawa
Uombi lift ukashangae ata maandaman kenya utakiHaya bana safari njema RC
Ww umechelewa daku unakula sasaiv usinlfunge05:03
Daku
Hakuna mfungaji hapa 😂😂 kimoja cha nini tuachie sisi makobeDaku,kisha kimoj cha kuamkia