zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,604
Kila sehemu ninapofungua Uzi upo,naogopa Hadi kufungua friji utakuepo👀 00:42
Kila sehemu ninapofungua Uzi upo,naogopa Hadi kufungua friji utakuepo👀 00:42
Karibu lindoni mrembo,mimi tu nipo single,nipate msaidizi wakulinda nae,Apo silali ata wikiThread hii ya 2016, imedumu. Mapopo
Mzee kimya Ile ishuLeo utakuwa wapi
Dah nimempeleka shule nilishauliwa aende shule labda atatuliaMzee kimya Ile ishu
Achana na shule wewe ,uyo anaitaji apate binti,unamnyima haki zake za msingiDah nimempeleka shule nilishauliwa aende shule labda atatulia
unaye bint sasaAchana na shule wewe ,uyo anaitaji apate binti,unamnyima haki zake za msingi
Ata Kama wapo siwezi kukupa achanganye mbegu na uyo Koko wako hahahaWe
unaye bint sasa
😂😂😂😂😂Hakii umefanya nicheke😂😂 daahKila sehemu ninapofungua Uzi upo,naogopa Hadi kufungua friji utakuepo
Fwala ww 😂😂😂 huyu sio kokoAta Kama wapo siwezi kukupa achanganye mbegu na uyo Koko wako hahaha
Kwa mzee dingi upo,yakini upo,sijui Babu Kama mshikaji wangu upo,ngoja na Mimi nishushe yangu nikuvute tu haha😂😂😂😂😂Hakii umefanya nicheke😂😂 daah
Atakuja tu usiwe na shaka! Kwani Basi limefika?01:10 alie nifanya nikeshe ajatokea mpaka sasaiv nipo stend na msubili
Ajafika na sms ajibu tena naludi zangu kulalaAtakuja tu usiwe na shaka! Kwani Basi limefika?
Ulipo nipo😂😂😂😂Kwa mzee dingi upo,yakini upo,sijui Babu Kama mshikaji wangu upo,ngoja na Mimi nishushe yangu nikuvute tu haha