Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
JAMII FORAMU USIKU UJJJUU
JaribuMbona unayaka kutuoa fedhea hapa
🤣🤣JAMII FORAMU USIKU UJJJUU
Ww umetuwezaJaribu
Halafu wee mtoto koma. Mzee nina majani ya silver? Au nimekuzaa miye hebu nipishe...Anakudanganyaje na uzee uho 😂😂😂
dicho ulikuwa unataka
Umejitahid ngoja tuone wengineWw umetuweza
I mean no malice to nobodyNaomba nifundishe english mimi darasa la saba c
😂😂😂 watu mnachukia uzee mnanionea wivu nimezaliwa 2006 mnataka mludi utotoniHalafu wee mtoto koma. Mzee nina majani ya silver? Au nimekuzaa miye hebu nipishe...
Usinizeeshe miye bado kabisa, hata my man ndiyo kwanza yuko mbichi hata 35 hana. Usituzeeshe siye
AsanteeUmejitahid ngoja tuone wengine
Thubutu unapenda udogo wakati ushanyoa ndevu kwa miaka 7 iliyopita...😂😂😂 watu mnachukia uzee mnanionea wivu nimezaliwa 2006 mnataka mludi utotoni
Dogo umepona?Asantee
Sasa wewe mbona unanichamba kwa nguvu ivyo 😂😂😂 nisamee nimekosa mimi nimekosa mimiThubutu unapenda udogo wakati ushanyoa ndevu kwa miaka 7 iliyopita...
Pole wee miye sipendi utoto kabisa, now ni mdada kabisa na najutambua vizuri.
Shida kwako weye, unayejiona katoto kumbe umemaliza sinza yote wanawake.
Nimepona dingi kesho naenda clubDogo umepona?
Vipi dawa ya kuacha tungi, ilifanya kazi??Dogo umepona?
I wish I could have understood🙆Jamii firyn usukg wa ma abs
Sikutumia dawa na mpaka sasa sijanywa mkuu.Vipi dawa ya kuacha tungi, ilifanya kazi??