Uko wapi tule raha na tufurahi PAMOJA!Nina raha na furaha
Blessed 🙏🙏🙏😍😍😍
Uho ni uamuzi wakrAkifika akikukosa ataliwa kimasihara
NishikikisheNina raha na furaha
Blessed 🙏🙏🙏😍😍😍
Naomba nifundishe english mimi darasa la saba cLeague of their own, style of their own 💪💪
My man...Nishikikishe
Wewe uliacha shule la nne D bana. Darasa la saba C wanajua kuandikaNaomba nifundishe english mimi darasa la saba c
Ndio maana naomba msaada wa kufundishwa hapaWewe uliacha shule la nne D bana. Darasa la saba C wanajua kuandika
Eee…… kafanyajeMy man...
Napendwa sana, nadekezwa sana, yaani nimeelemewa. Naona kama dunia yote yangu, nyinyi ndiyo nimewapangisha katika hii dunia....Eee…… kafanyaje
Mapenzi ukichaaa 😂😂😂😂 iv anajua kuwa una msifia uku 😂😂 au unakaushaa koo uku maji ya kunywa ya kandoroNapendwa sana, nadekezwa sana, yaani nimeelemewa. Naona kama dunia yote yangu, nyinyi ndiyo nimewapangisha katika hii dunia....
Mpaka sekunde hii naingia huku, tulikuwa tunaongea....Mapenzi ukichaaa 😂😂😂😂 iv anajua kuwa una msifia uku 😂😂 au unakaushaa koo uku maji ya kunywa ya kandoro
Anakudanganyaje na uzee uho 😂😂😂Mpaka sekunde hii naingia huku, tulikuwa tunaongea....
Mbona unayaka kutuoa fedhea hapaType neno jamii forum usiku bila Kuangalia Kwenye Keyboard. Naanza
Jamii forim usiku
Kwahiyo ni mimi na harmonize ndio tupo singo again 🤔Napendwa sana, nadekezwa sana, yaani nimeelemewa. Naona kama dunia yote yangu, nyinyi ndiyo nimewapangisha katika hii dunia....