Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,758
- 6,318
Kuna upepo tuu mkuu😂😂Kuna kahawa?nisije sinzia nikakosa kibarua
Kuna upepo tuu mkuu😂😂Kuna kahawa?nisije sinzia nikakosa kibarua
Upepo nitatamani morning Glory ,ikawa Kama ngoswe,penzi kitovu Cha uzembeKuna upepo tuu mkuu😂😂
😂😂😂Hii kweli aseehUpepo nitatamani morning Glory ,ikawa Kama ngoswe,penzi kitovu Cha uzembe
Hahaha nipewe lindo nikamlinde Kamala,hivi kaolewa?ukila ao unakua umeila USA😂😂😂Hii kweli aseeh
Madam hulalagi. Sembuse kipindi hiki cha daku, hata jicho hufumbi.😂😂😂Hii kweli aseeh
Aisee.. Mwanasheria wangu ametoka kidogo 😂😂 Half americanHahaha nipewe lindo nikamlinde Kamala,hivi kaolewa?ukila ao unakua umeila USA
Nilale nipitilize muda weee😂😂😂Madam hulalagi. Sembuse kipindi hiki cha daku, hata jicho hufumbi.
Kaolewa na Myahudi.Hahaha nipewe lindo nikamlinde Kamala,hivi kaolewa?ukila ao unakua umeila USA
Usiku saivi ,nitaeleweka tu nilikua usingizini hahaAisee.. Mwanasheria wangu ametoka kidogo 😂😂 Half american
😂😂😂 zwenge ndaba anataka kumlinda akiwa ndan😁😁😁0252
Nipo juu na Helicopter tunamlinda Kamala
Hulalagi aisee. Hata kidogo.Nilale nipitilize muda weee😂😂😂
Aisee.. Mwanasheria wangu ametoka kidogo 😂😂 Half american
Huo utakua wivu Sasa,Linda vingine,Apo kwingine atalinda myahudiKaolewa na Myahudi.
Kaambatana naye. Mimi ndiyo nipo lindo. Nitakutungua kikojoleo.
Hata huko kwingine ni sehemu ya lindo.Huo utakua wivu Sasa,Linda vingine,Apo kwingine atalinda myahudi
Wakili msomi amewarn😂😂😂
Yes mapema kabisaWakili msomi amewarn😂😂😂