No smokingKwa kingereza unamaanisha nini ?
Mzee habari za toka wizi wa jana??05:06
😀😀😀 nilikuwa na majukumu ya kiutu uzima yakanicheleweshaaMzee huoni aibu kabisa unatokea jua likiwa limechomoza
Anhaaa, chimbo gani tenaa uliiibuka au Juliana Nini??😀😀😀 nilikuwa na majukumu ya kiutu uzima yakanicheleweshaa
Kazi na iendeleeMzee habari za toka wizi wa jana??
😅😅😅 nyinyi ni vijana wa ovyo msitambulishwe mashemeji zenu. Nimekoma kuwatambulisha mashemeji kwenu😂😂😂😂 ww mzee ni unazeeka vibaya nini? Yaani mm niachike wakat uliachwa baada ya kunitambulisha kwa dem wako af dem wako akakupa kibuti pale sokoni 😂😂