JamiiForums Usiku wa manane
03:46

Leo jogoo wamewika km kawaida na saa 7 waliwika hazana hakuna
 
Unajuaje? 😂
Nilipokua mtoto nilikua nacheka huku nimelala sasa hio tabia nmekua nayo Kuna zile ndoto unakuta unaota unaanza kufurahi sasa mimi hua namwaga kicheko, mama anasema alipokua akinishtua nilikua nalia enzi hizo nipo katoto sasa nmekua nayo nipo hivyo tu nacheka usingizini buhahaha
 
😂😂Inatisha hiii.. Emagine umelala na mtu alafu anakuchekaa buhaahaaha😀😀😀
 
Itabidi uzoee na napenda kulala mwenyewe wote niliowahi kulala nao asubuhi lazima waulize Jana usiku ulikua unacheka nini?
 
Back
Top Bottom