n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,537
- 7,255
02:53am
😂😂😂Utapokea sawasawa na dhihaka zako Kwa watumishi wa BwanaNapokea mtumishi zumarid 😂🌏
Nimekosa nimekosa mimi 😂😂😂😂😂Utapokea sawasawa na dhihaka zako Kwa watumishi wa Bwana
Kosa lako bila kuja na dhabihu kamwe hakuna msamahaNimekosa nimekosa mimi 😂😂
Dhabihu tena 🙄🙄Kosa lako bila kuja na dhabihu kamwe hakuna msamaha
Ngoja na mimi nikadoee kwa jiraniLeo saa 03:18 nimesikia hazana nishazoea Swalaa saa 11 mda HUU nasikiaga mojibwa na kuku wiiiiko
Watu wanakula daku Bantu Lady
03:22
Wewe ulifungiwa karibu mwezi na jimama hatukuona hapa lindoni umeachika huko ndo unaonekana hapa 😀😀😀
😂😂😂😂 ww mzee ni unazeeka vibaya nini? Yaani mm niachike wakat uliachwa baada ya kunitambulisha kwa dem wako af dem wako akakupa kibuti pale sokoni 😂😂Wewe ulifungiwa karibu mwezi na jimama hatukuona hapa lindoni umeachika huko ndo unaonekana hapa 😀😀😀
Mzee huoni aibu kabisa unatokea jua likiwa limechomoza06:18